Rais Kikwete akifungua Hoteli Mpya ya Kitalii ya Bilila Lodge Kempinski

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
JK na mmiliki wa hoteli ya kitalii ya Bilila Lodge Kempinski Bw. Ali Al Bwardy wakifungua kitambaa kuashiria kuzinduliwa kwa hotelui hiyo leo asubuhi. Hoteli hiyo ya nyota tano ina vyumba 80. Chini wakipeana mikono baada ya uzinduzi rasmi


JK akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANAPA Modestus Lilungulu(kulia) wakati wa sherehe za ufunguzi wa Hoteli mpya yenye hadhi ya kimataifa ya Bilila Lodge Kempinski katika mbuga ya wanyama ya Serengeti leo asubuhi. Katikati ni mmiliki wa Hoteli hiyo Bw. Ali Al Bwardy


Sehemu ya umati uliohudhuria sherehe hizo leo asubuhi


JK akiongea wakati wa ufunguzi wa hoteli hiyo

Mandhari ya hoteli mpya ya kitalii ya Bilila Lodge Kempinski iliyofunguliwa na JK katika mbuga ya Serengeti leo asubuhi.






Mmemuona bwan BARWADY?
 
Back
Top Bottom