Sikiliza bongo radio sasa hivi kuna wimbo mzuri

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Samahani mods nimeshindwa kujizuia so nimeweka hapa si unajua tena ni ijumaa. Kuna wimbo unaendelea bongo radio sasa hivi wa masanja wa kula ugali.... Nimecheka sana na kwa wale wenye hasira na mambo yanayoendelea Tanzania wanaweza kupunguza hasira hapo


Thanks mazee geeque kwa hilo song!


 
 
Back
Top Bottom