- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
WIMBO:
WATUNZI: LAMECK DITTO, AMINI MWINYIMKUU
PRODUCER: EMA THE BOY, TUDDY THOMAS
STUDIO`: SURROUND SOUND STUDIO
HOOK.
Utanzania wangu ni muungano wetu.. (Amini/Khadija)
Tofauti zetu zisibadili kitu.. X2
Tuulinde Tuudumishe.. Tuulinde Utanzania.. (Jose Mara, Mandojo, Shaa)
Tuulinde Tuuimarishe.. Tuulinde Utanzania..
CHORUS.
Tuulinde Tuudumishe.. Tuulinde Utanzania..

VERSE 1.
Walifanya kazi babu zetu wa zamani, (Linah)
Wakaujenga msingi ulioishika amani,
Walijitoa kwa ajili ya sisi watoto wao, (Walter/ Mzee Yusuf)
Na sisi tuulinde kwa ajili ya wajukuu zao..
Walifanya kazi babu zetu wa zamani, (Flora Mbasha)
Wakaujenga msingi ulioshika amani..
Ili mi nawe tuwe Watanzania.. Basi umoja uzalendo zingatia (Diamond)
Tusisikilize maneno ya kuambiwa.. Huo ndioo..
Tushirikiane tusibaguane sisi ni wamoja.. (Kalala jr)
Kudumu ninahakika ni juu yetu.. (Dogo Aslay)
Wachache wanaotuzingua, Kutumia siasa kutusumbua (Christina Shusho)
Tusiache kuwakumbusha Umuhimu wa Tanzania..
Mimi ni sehemu ya Umoja wetu, (Ali Kiba)
Kudumu nahakika ni juu yetu..
Wachache wanaotuzingua, Kutumia siasa kutusumbua.. (Khadija Kopa)

VERSE 2.
Lugha moja kabila Mia moja Ishirini, (Niki wa pili)
Hii ni hoja utu utamaduni na kujiamini
Hekima busara vya hali ya juu.. (God zilla)
Vinahitajika kuulinda muungano huu..
Sisi wamoja we keep through..
Familia moja we keep through..
Sisi ni baba moja mama mbalimbali.. (G-Nako)
Japo ni damu moja shetani kaa mbali,
Bendera moja ila rangi mbalimbali..
Shetani kaa mbali.. Shetani kaa mbali..

Muungano wetu tuudumishe wewe.. (Angela Karashani)
Nyerere baba wee.. Karume baba wee..
Utanzania wetu eeh. Muungano wetu eeh
Nyerere wee.. Nyerere wee Nyerere wee anha..
VERSE 3.
Asante Karume baba na Nyerere kwa Amani, (Ommy Dimpoz)
Muungano tunajivunia wa Bara na Visiwani x2
Tunatembea kifua mbele Amani ikiwa kwenye kilele.. (Abdu Kiba)
Tunatembea kifua mbele Amani ikiwa kwenye kilele..
Nyerere, Abeid Karume walichanganya udongo tumeungana, (Peter Msechu)
Muungano usiotenganika kati ya Tanganyika na Zanzibar..
Amani na upendo ndiyo urithi tulioachiwa, (Madee)
Hata bibi babu walishatuambia,
Kule nchi jirani wanatamani wawe sisi,
Ona wamevurugana please tuishi kwa peace
Hakuna wa kumlaumu ikiharibika.. (Vanessa Mdee)
Sisi wote kwa pamoja tukiwajibika..
Nadhuru kwenye kaburi la babu ye ndo analia, (Roma)
Nyeusi itakuwa nyekundu bendera ya Tanzania
Waasisi wakitoa machozi umekufuru dunia
Ooh my God hivi mnafata wosia waliotuachia

LINK YA WIMBO CHINI