Soko la Dunia ni nini?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habari zenu wakuu wa jukwaa hili,


Naomba kuelimishwa juu ya Biashara ya kimataifa kama ifutavyo:


1. Soko la dunia ninini?

2. Nawezaje kuuza bidhaa yangu nje ya nchi mfano: nataka kuuza Dengu India nafanyaje?

3. Nitaratibu zipi za kufuata ili kuuza bidhaa nje ya nchi mfano. Ulaya, asia n. K?


Ahsanteni naomba darasa lenu.


 
 
Back
Top Bottom