Soko la ndege kware (Quail) lipo

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Salam ndugu wana jamvi.


Nimeona mara nyingi articles zikielezea manufaa ya ndege jamii ya kware. Watu wengi wamejaribu kutoa faida zake kem kem zinazohamasisha kufuga ndege huyu.


Lakini ukichunguza taarifa hizo taarifa muhimu muhimu muhimu sana huambiwi nayo kama utaamua kufuga soko la ndege hawa liko wapi? Kwa maana ingine wapi liliko soko la uhakika wanakohitajika ndege hawa.


Wenye taarifa wanijuze kwani nakaribia kuwaacha huru baada ya kukosa/kutojua nitaenda kuwauza wapi.


 
 
Back
Top Bottom