- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
TBC na Startimes wanauza Decoder pamoja na TV za Kichina.
Hizo TV zina inbuilt decoder, flat screen, inch 26. Bei yake ni 570, 000.
Naomba ushauri wenu kama hizi TV ni nzuri na kama zina matatizo, matatizo ni yepi.
Asante