P PamojaForumsPamojaForums is verified member. Administrator Staff member Joined Mar 14, 2026 Messages 33,422 Sep 6, 2026 #1 Hawa jamaa hawashikiki... Wanataka kuwapagaisha voda au?? Nimesikia nyepesi wanakuja na thumni kwa sekunde. Ngoja tukae mkao wa kula!!! Lol!
Hawa jamaa hawashikiki... Wanataka kuwapagaisha voda au?? Nimesikia nyepesi wanakuja na thumni kwa sekunde. Ngoja tukae mkao wa kula!!! Lol!