Toyota Tanzania

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Jamani habari zenu. Ningependa kujua, kwa anayejua, bei za magari yafuatayo pale toyota Dar es Salaam: Toyota landcruise VX V8, GX V8 na Prado zote za model ya 2011. Mi niko nje ya nchi so sijui bei zake manaake nataka kununua gari hivi karibuni. Napenda kuhamasisha Watanzania tununue magari mapya nasi tuwe poa siyo kununua used cars kila wakati. Kwa anayejua tafadhali.


Asante


 
 
Back
Top Bottom