Tujikumbushe Nyimbo kali za Bongo Fleva Zilizotamba zamani

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habari wadau, kila kukicha wasanii wa bongo fleva wanaongezeka lakini hakuna cha maana wanachoimba zaidi ya kukopiana nyimbo, hebu tujikumbushe nyimbo za Bongo Fleva zilizotamba kipindi hiko. Mimi za kwangu ni hizi, Kamanda ya Daz Nundaz, Mtazamo ya Afande, Lover boy- Chege, Salome ya Dully. Karibuni tuendelee wadau


 
 
Back
Top Bottom