Uagizaji wa magari kupitia tradecareview toka Japan

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wna JF

Kuna gari zuri nimeliona kwenye web ya tradecarview, nataka kuagiza.

Je kuna mtu keshaagiza gari kupitia hao jamaa? Nina experience na Trade Haus Logistics (THL) tu.

Je ni waaminifu? Wako reliable kwa maana ubora wanaousema ni kweli?

Naomba msaada kabla sijaingizwa mkenge, si unajua pesa zetu ni za kuunga unga na gundi!


Nashukuru


 
 
Back
Top Bottom