Ushauri: Biashara ya kukamua na kuuza mafuta ya alizeti kwa jijini Dar inalipa?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wadau napenda kupata ushauri bishara ya kukamua na kuuza mafuta ya alizeti kwa Dar inalipa? Nimefunga mashine kwa hapa dar lakini material kwa maana ya mbegu itanilazimu nikanunue Singida au Dodoma. Nimeamua kufunga hiyo mashine hapa Dar kwa ajili ya urahisi wa kusimamia maana mimi ni mwajiriwa pia.


 
 
Back
Top Bottom