Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habari wanaJF.


Mimi ni mfanyakazi wa serikali nahitaji mkopo kutoka kwa mtu binafsi anayekopesha kwa riba. Sihitaji pesa nyingi sana.


Kwa yeyote mwenye taarifa naomba anipm. Nina shida msaada jamani.


 
 
Back
Top Bottom