- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Helo great thinkers ninaombeni kwa mwenye ufahamu juu ya mikopo isiwe bank kwani lengo langu, ni kukopa fedha kidogo ili niongezee mtaji katika biashara yangu nipo tukuyu mbeya, kaz yangu ni mwalimu karibu, kwa ushauri ndugu zangu