- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Habari zenu wakuu,
Kuna jamaa mmoja analalamika ana uvimbe shingoni na homa. Alifanyiwa ultrasound ya shingo mwaka jana mwezi wa saba akaambiwa kitalaamu ana multiple cervicle limphnodes enlarged Inayotokana na TB, akaanzishiwa dozi ya TB ambayo alimaliza mapema januari mwaka huu, lakini uvimbe umepungua kidogo tu, bado upo.
Sasa naombeni kuuliza watalaam suluhisho la hili tatizo inaweza kuwa ni nini?