Andy Swebe ambassodor katutoka

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Mwanamuziki Andy Swebe a. K. A Ambassodar aliyepata kuvuma sana na kundi la MK GROUP enzi zile akipiga gitaa la base, leo asubuhi amefariki dunia baada ya kubanwa na pumu. Msiba upo Kijitonyama.

MUNGU ailaze roho ya marehemu mahala pema... Amin


Source: Wanandugu


 
 
Back
Top Bottom