Bei ya cement

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habari

Wana jamii naomba kuuliza kwa yeyote anayefahamu bei ya cement kwa

Kiwandani kwa bei ya jumla na kama ukihitaji ni kuanzia mifuko mingapi

Au kama kuna sehemu naweza kupata kwa bei nzuri ambayo na mimi nitapata

Angalao faida kidogo kwa anaye fahamu naomba anisaidie. Ni kwa hapa hapa Dar


 
 
Back
Top Bottom