- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Habari wakuu, natafuta bajaji ya kubebea mizigo maarufu kama toyo, hivi dukani bei ni shilingi ngapi kwa sasa.
Note: maduka ya kuaminika maana kuna jamaa huwa wanaziagiza kwa exemption then wanaziuza, matokeo yake kubadili jina inakuwa mziki.
Asanteni wakuu.
Note: maduka ya kuaminika maana kuna jamaa huwa wanaziagiza kwa exemption then wanaziuza, matokeo yake kubadili jina inakuwa mziki.
Asanteni wakuu.