- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Haiyaaa haiyaaaa..........
Wale wadau wa hili game........ Ni msimu mwingine tena umewadia wa kuburudisha mioyo yetu........
Ni leo tar 5 Oct........ Saa mbili usiku kwa saa za kwetu bongo......(SA ni saa moja huko).......
Basi sawa......... Tukutane hiyo mida mida tukonge nyoyo zetu........
Tahadhari:...... Kama unaona haikuvutii...... Pita hivi....... Usituharibie hali ya hewa....... Maana najua hamkosekani........
: busu.........
Mwakilishi wa Tanzania ni Iddris
Idris is the Winner!