Dalili ni zipi?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wana JF tukumbushane dalili za magonjwa mbalimbali naamini kuwa Watanzania wengi hatuna tabia ya kwenda hospitali kwa hiyo siyo mbaya tukakumbushana dalili za magonjwa kama vile


UKIMWI

MALARIA

KASWENDE

GONO

TYPHOID

Na mengineyo mengi hapa nimetaja kwa uchache tu. Nafikiri mtu akiona dalili hizo atakimbilia hospitali au pharmacy kupata japo dawa


 
 
Back
Top Bottom