Dawa hii imenishindwa nifanyeje?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Jamani hii dawa ya kunjwa mkojo nimeikubali mbali yakuongelewa hapa jamvini nimewauliza madr kadhaa wasema nikweli kabisa leo nimejaribu asubui nikakinga kwenye glasi ile harufu tuu acha nikaribu kiduchu mdomoni kwanza jamani usisikie jamani ladha yake cjawai kuona chumvi si chumvi yaani kichefu chefu nilipojaribu mara ya pili kunywa yaani niliishia kutapika nyongo na zoezi likaishia hapo hapo unless nipate mwongozo mwingine pls mzizimkavu ktk hili


 
 
Back
Top Bottom