Dawa ya kuondoa rangi nyeusi kwenye ngozi baada ya fungus kupona

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Nilipata fungus ya sehemu ya tumbo usawa wa kitovu lakini kwa pembeni, kama miezi 6 iliyopita. Baada ya kutibu na kupona, na hiyo sehemu kukauka, pamebaki rangi nyeusi. Nafikiri ni kitu cha kawaida kwa wengi baada ya fungus au kidonda kupona.


Hata hivyo kinyume na mategemeo yangu kwamba sehemu hiyo ya ngozi ita undergo natural healing baada ya siku chache, tatizo ni kwamba hiyo alama nyeusi bado haijotoka hadi leo na sioni dalili ya hiyo rangi kutoka hivi karibuni.


Tafadhali naomba msaada kwa yeyote mwenye kujua namna yeyote au dawa inayoweza ondoa hayo madoa meusi, anijuze tafadhali.


 
 
Back
Top Bottom