Ni yapi madhara yatookanayo ya kemikali kali za kuchubua ngozi, kuongeza ndevu, kuotesha nywele kwenye vipara, kuongeza makalio na maziwa

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Kumeibuka wimbi la wafanyabiashara wengi wakiingiza nchini madawa mbalimbali yenye kemikali kali za kurefusha uume, kuongeza ndevu, kukupa six packs hata kama una mtumbo mkubwa kama wa Bujibuji Simba Nyamaume, dawa ya kuotesha nywele kwenye upara na nyingine nyingi. Na kuna madawa ya kuchumbua ngozi, kuongeza ukubwa wa hips, makalio, manyonyo nk.


Kupitia uzi huu naomba tujulishane side effects za muda mfupi, wa kati na muda mrefu za kutumia kemikali kali mwilini mwa binadamu


 
 
Back
Top Bottom