Diamond akiri kutoka na Jokate

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Nafikiri Salama Jabir is the best presenter katika hizi talk shows za hapa bongo. Naangalia kipindi chake cha Mkasi kuna swali amemuuliza Dimond very trick na Diamond akaingia kwenye kumi na nane zake kajikuta katoa siri ya kumsaliti Wema na kum-date Jokate.


Walikuwa wakikataa siku zote walipokuwa wanaulizwa kati yake na Kidoti mpaka Wema alikuwa akionekana anatapatapa. Ila huu ugonjwa waangalie upo jamani hawa bado ni vijana wadogo sana na vipawa vyao bado vinahitajika


 
 
Back
Top Bottom