Duka la Mariedo na bidhaa bandia

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Duka la mariedo na bidhaa FEKI na CHEAP



Kwanza maduka yao yako so depressing... Rangi rangi nyingii utafkiri yale cover ya sinema za porn za 1960's


Pili sijui kwa nini wanauza vitu feki feki tena kwa bei za juu


Na mbaya zaidi wameingi akwenye mkumbo wa network za ufisadi na baadhi ya maofisa wa mashirika ya serikali kwa kuwauzia staff uniform ambazo hazina chembe ya Quality... Soma taarifa za mkaguzi mkuu wa serikali CAG juu ya ifisadi wa Mariedo na aliyekuwa spika samuel sitta


Sasa kuna mtu aliwa blast kule kwenye siasa lakini nimeona ma celebrity wetu nao wanaingizwa kwenye mkumbo wa kuwasafisha hawa jamaa wakati wanawaliza watu


Ndiyo mshaonywa tena


 
 
Back
Top Bottom