Filamu za bongo-part1 na part2

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Nina uhakika mengi yamesemwa kuhusu hili, lakini mbona sioni mabadiliko jamani?? Yaani unakuta movie inaenda taratiiiiiiibu... Kitu kinachukua saa moja na nusu-content is poor! Halafu naambiwa watchout for part 2!!! Wats there to wait for??

Watengenezaji/anayehusika wafanye kitu sasa-mabadiliko. Tunatamani kuokoa sanaa lakini hambebeki! Ebo!!!

Na mshukuru mabasi ya mikoani yanayoonyesha hizo muvi..


 
 
Back
Top Bottom