Gharama za ku-import cement ya Pakistan (Lucky cement)

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wana-JF natumai mko poa,

Please naombeni msaada wenu juu ya kusafirisha/ kuingiza cement ya pakistan. Kwa kuanzia naombeni mnisaidie mambo yafuatayo;

I) Ni kampuni gani maarufu inayoaminika kwa kuuza cement kwa nchi za Africa, ikiwemo Tanzania.

II) Bei ya mfuko mmoja wa kg 50 ni ipi?

III) Kontena moja la 20ft linachukua mifuko mingapi?

IV) Duties zake kwa port ya Dar es Salaam zikoje?

Asanteni sana


 
 
Back
Top Bottom