Hisa za Mwanza Community Bank PLC: Speculators Mnasemaje??

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Nimesikia matangazo ununuzi wa hisa za Mwanza Community Bank PLC umeongezwa muda, Biashara hii ya Hisa kwangu mimi imekaa ki-speculation zaidi kwa maana unawekeza/unatupa pesa zako huko lakini tegemea kupata au kukosa(Rejea hisa za TOL, Precision Air n. K).


Niliwahi kununua Hisa za NMB walipokuwa wanauza hisa zao lakini baadae nilivoona hazifanyi vizuri sokoni nikaziuza, Leo hii najutia uamuzi ule niliufanya haraka sana kwa sababu NMB wanafanya vizuri sana sokoni sasa hivi, na kama ningeamua kusubiri hadi sasa ningekula bingo nzuri sana.


Sasa swali langu kwa Mabingwa wa Speculation(Speculators) hizi hisa za Mwanza Community Bank PLC mnadhani zitakuja fanya vizuri sokoni?, na Je kwa vigezo vipi mnavoviona?


Cc: DseTanzania Pasco SanctusMtsimbe


 
 
Back
Top Bottom