Hivi Kariakoo ni kweli kuna Fremu za 3M-5M au ni kutishana tu?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Mtaani tumezoea kodi ya fremu kuanzia 50k-200k, kutokana na eneo.


Kwa taarifa ninazopata ni kuwa fremu K. Koo si chini ya 1M, oky hio sikatai kutokana na eneo lenyewe. Vipi hawa wanaosema ni 3M-5Millions.


Je, hii ni kweli? Mtu huyu ana mauzo ya namna gani?


Ikumbukwe hapa nazungumzia fremu za bidhaa ndogo ndogo kama simu, nguo n. K ambapo unakuta ukubwa wa chumba ni almost 8×10ft.


 
 
Back
Top Bottom