Hivi msanii Mirror yupo wapi siku hizi? Mbona kazi zake hatuzisikii

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habari za asubuhi guys..


Kuna huyu msanii almaarufu kama mirror nakumbuka miaka michache iliyopita kakimbiza sana na ngoma zake Kali na hata kwenye matamasha.


Baadhi ya ngoma zake Kali na zilizokimbiza ni hzi:-

* Mirror - one and only

* Mirror - nibembeleze

* Mirror - kidogo

* Mirror - nadata..


Actually jamaa alikuwa ananikosha sana hata kwa upande wa videos zake alikuwa very smart.


Miaka ya 2012, 2013 even 2014 jamaa aliwika sana.

Wenye kufahamu kuhusu hili naomba watufahamishe, jamaa kapotelea/kakimbilia wapi


 
 
Back
Top Bottom