- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Jamani eeh, nimekuwa najiuliza hata sipati majibu, hivi wasanii maarufu waliowika miaka fulani ya nyuma hapo wako wapi?... Kuna Crazy GK, sijamsikia, Misosi, Jumanne Iddi, Lady hanifa, K-Bazil kwa uchache tu... Kuna wengine hapa walisikika sana na kuvuma kwa single fulani fulani, ila sijawasikia tena... Wa wapi hawa? Kunani?