Huyu Ben Paul vipi huyu simuelewi kabisa!

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Jana kwenye kili music award haka kakijana kalipata mojawapo ya zawadi. Kilichonishangaza wakati anatoa salamu za shukrani alishindwa kabisa kuongea, yaani alianza kutoa "miguno" kama anati.......

Hivi bongo ameingia sheitwani gani mbona inaelekea watoto wetu wakiume wanaharibikiwa ghafla?


 
 
Back
Top Bottom