- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Wadau naombeni mwenye kujua dawa mbadala maana koo linaniwasha yapata wiki 2 bila kutulia japokuwa sijawahi kutumia dawa yyt ile afu natema makohozi kama nabanja wakati sibanji! Sa cjui ni nini natanguliza shukurani zangu kwa wadau wote