Je! Pesa za Mshindi wa BBA Idris zinapaswa kukatwa kodi?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wataalamu wa masuala ya kodi na sheria hebu tujuzeni kama pesa za mshindi wa BBA season 9 Idris Sultan zinapaswa kutozwa kodi kwa mujibu wa sheria zilizopo Hapa nchini. Nauliza kwa sababu nataka kujifunza.


 
 
Back
Top Bottom