Kiuno kinauma sana.

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habari wana Jf.


Kama nilivyoainisha hapo juu, kiukweli naumwa sana na kiuno yaani nikijikunja kidogo kama nataka kuangukia nyuma napata maumivu makali sana. Kuna siku kiliuma mpaka nikaomba niwekewe kitu kizito kiunoni huku nimelala toka siku hiyo ndo mpaka leo bado kinauma.


Msaada tafadhali


 
 
Back
Top Bottom