- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Kumekuwa na mafundisho mengi yanayosema ni vizuri kuandika busines plan kabla ya kuanza biashara/mradi, Lakin ukifuatilia kwa undani hakuna business plan hata moja ambayo huwa inaonesha kipindi cha hasara, Na ukifuatilia biashara nyingi hufa ndani ya mwaka wa kwanza, Na wakati huo mtu ana business plan mkononi inayoonyesha angepata faida kubwa saaaana, Nakushauri anza biashara yako hata bila ya business plan, Biashara ni vitendo siyo faida ya kwenye makaratasi. Uliza wafanyabiasbara waliofanikiwa Kama walianza kwa kuandika business plan.. ANZA LEO BIASHARA, USINGOJE KESHO.