Itanichukua muda gani kusajiri kampuni brela?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Ninahitaji kufungua kampuni in partnership na mtu ambaye si mtanzania, process zote zitachukua muda gani hadi kupewa certificate? Ni vitu gani ntahitaji ambatanisha napoenda sajiri?


Nimeshapitia website ya brela, ila nahitaji majibu ya mtu ambaye ameshafanya hili.


 
 
Back
Top Bottom