Kuna mtu ashawahi kupata mkopo halopesa HALO MKOPO?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Kama ilivyo mitandao mingine tigo nivushe, voda songesha pia nimeona halo mkopo, lakini hawa halo mkopo... Mbona kila siku wanadai huduma hii itakujia punde... Vp tatizo ni nini... Finca mnafeli wapi


 
 
Back
Top Bottom