Kupandishwa kwa gharama za kodi za viwanja

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Jamani hivi inawezekana kweli kodi ya kiwanja chenye ukubwa wa acre moja ikapande kutoka 90500 mpaka 340, 000 tshs? Hivi kwanza kodi za viwanja zimepanda lini? Tafadhali mwenye kujua hili naomba anisaidie.


 
 
Back
Top Bottom