P PamojaForumsPamojaForums is verified member. Administrator Staff member Joined Mar 14, 2026 Messages 33,422 Sunday at 2:06 PM #1 Jf Dr. Kutokwa na machozi pale mtu anapocheka au kuwa na furaha sana ni tatizo au ni hali ya kawaida tu? Naomba ufafanuzi ndg wapendwa.
Jf Dr. Kutokwa na machozi pale mtu anapocheka au kuwa na furaha sana ni tatizo au ni hali ya kawaida tu? Naomba ufafanuzi ndg wapendwa.