Mabasi ya 'Dar Express' yanahujumiwa?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Inaskitisha sana kuona hujuma za waziwazi zinazofanywa na mafisadi kuhujumu juhudi binafsi za wazawa katika shughuli nzima za kimaendeleo kama kinachoendelea kwenye mabasi ya Dar Express.


Angalizo kwa hujuma anyofanyiwa mmiliki wa hayo magari ni kuwa watu wanaelewa kuwa ni mchezo mbaya anafanyiwa huyo bwana na anaefanya hayo yatajulikana tu kwani kaskazini watu huku wanachukia majungu kuliko kitu chochote kile, hayo magari yenu mmnayoleta mtapanda wenyewe na familia zenu.


 
 
Back
Top Bottom