Msaada kwa anayefahamu Kuhusu Uwakala wa Tigopesa, M-pesa, Airtel Money na LUKU

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habar wana jf mm ninataka niwe wakala wa mpesa, airtel money, tigo pesa na Luku lakini sijuwi gharama za hivi vitu tafadhali kwa anaejuwa naomba anielekeze Mpesa gharama yake shilling ngapi, airtell money shilling ngapi gharama zaka, tigo pesa gharama zake kiasi gani na Luku gharama zake ni kiasi gani tafadhali naombeni mnisaidie jaman kwa anayefahamu


Thanx in advance


 
 
Back
Top Bottom