- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Wanajukwaa mimi ninampango wa kufungua biashara tatwa hapo juu lakn cjui nianzie wap. Na je ni kiasi gan unaweza kuanza nacho pia unawezaje kupata hzo line kwa gharama ipi tafadhal naomben mawazo yenu wadau
Nawasilisha
Nawasilisha