- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Wajameni eeh,
Nimebahatika "kupata" mahala ka mtaji. Ni kiasi cha Shs. milioni kumi tu, (10, 000, 000/=) za Kitanzania.
Nipeni mapendekezo nizi invest wapi, kivipi na matarajio ya faida (i. e biashara gani inalipa (plus location), kwa muda gani, na SWOT analysis zake).
=======
Original publication date: 2026-09-05