- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Hii ndiyo mambo tusiyopenda, mwanamama anahojiwa na Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu. Half katelekezwa.
> Anasema yu tayari kupima DNA
> Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.
> Anasema yu tayari kupima DNA
> Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima.