Najuta kuanzisha biashara ya baa, nashindwa na gharama za uendeshaji

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Bia zinashuka bei wateja siwaoni; muda huu nipo bar sina wateja kabisa kuna meza niliyokaa mimi na mbili zingine za wateja.. Umeme Maji Mishahara ya wahudumu; TRA ni sheshe; naomba ushairi wa wadau wa sekta hii hali so nzuri.


Muda huu ni saa nne na robo saa sita kamili nafunga bar kwa mujibu wa sheria - sijauza kabisa. Nipeni mawazo ama ushauri.


 
 
Back
Top Bottom