Nakupa chimbo la raba hii Kariakoo, elfu 10 tu bei ya jumla

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wazee mpooo! Hiz raba mara ya mwisho tulipata tenda mwanza tukazituma. Kali sana na kuzugia zugia zinafaa


Size kuanzia 32 mpaka 43

Boksi zinakaa 24 na kila moja inauzwa elfu 10 kwa mchina so boksi lake ni 240k


Duka la mchina linapatikana mtaa wa Narungombe na Kongo (Kariakoo) na mchina mwenyewe anaitwa "MA HUWA" yuko floor ya kwanza.. Ukifika mazingira hayo muulize machinga yoyt3 kuwq unaenda kwa mchina anaitwa "Maua"


 
 
Back
Top Bottom