Naomba idadi ya matofali kujenga nyumba hii

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Hello wakuu...


Nina ramani ya nyumba upana mita 7.5 na urefu mita 16.5... Sawa na square meter 123.75


Haina mikunjo mingi sana ila ina sebule ya 4.5 by 5m dining, corridor, jiko, stoo, masters... Vyumba viwili vya kulala na public toilet moja na front veranda.


Kiwanja kitakua na slope kiasi, siyo sana...


Naomba makadirio ya matofali, cement, mchanga n. K. Design ya paa bado ila kama utaweza kunipatia nitashukuru...


Asanteni wakuu


 
 
Back
Top Bottom