P PamojaForumsPamojaForums is verified member. Administrator Staff member Joined Mar 14, 2026 Messages 33,422 Sunday at 4:57 AM #1 Nyumba imejengwa ina urefu wa 32ft by 26ft.... Imejengwa plane kwa maana ya kutokuwa na mikunjo ya nje... Anyway naomba makadirio ya mbao na bati kwa ajili ya kupaua nyumba hii, bati standard za 3feet
Nyumba imejengwa ina urefu wa 32ft by 26ft.... Imejengwa plane kwa maana ya kutokuwa na mikunjo ya nje... Anyway naomba makadirio ya mbao na bati kwa ajili ya kupaua nyumba hii, bati standard za 3feet