Naombeni mwenye kujua faida za kuwa wakala wa NMB

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Ndugu zanguni, naombeni mwenye kujua faida za kuwa wakala wa NMB na faida zake. Je kamishrni zao zipoje? Ipi ina faida kati ya Nmb wakala na Kuwa wakala wa miamala ya simu mfano mpesa, tigo pesa n. K


 
 
Back
Top Bottom