Nini kinasababisha watoto kuwa vichwa vikubwaaaa?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Jamani, kichwa cha habari hapo juu chajieleza chenyewe. Hivi, ni kwanini watoto wengine wanakuwa wanazaliwa na vichwa vikubwa hadi wanatisha, na wengine yaani nashindwa kueleza. Na nini tufanye ili kuzuia hilo lisitokee,


 
 
Back
Top Bottom